Zabron Singers - Mbali Sana Lyrics

Contents:

Mbali Sana Lyrics

Nimekaa nimetulia, nikaikumbuka misukosuko ya nyumaNiliyopitia mimi, maama sikuwa hiviMlo wa siku tu nilisota, haijalishi nilibadili mipangoNihame kijiji, nijaribu na mjiniKula kulala tu nilikosa, kusoma kwa shida huyu huyu mimiMoyo ulichoka, kuishi kanichokaTunakusaidai leo, mara ya mwisho hapa usirudi tenaMoyo ulichoka, nilipo ambiwa hiviNilitamani niyaweze maisha lakini mi sikuwa na jinsiBado niliamini, ipo siku utatenda munguNinawaza na kutathmini kichwani nakuona bwanaUlivyonileta hapa mbali sanaUmenitoa mbali sanaNitaimba na ku kushukuru isingekuwa wewe bwanaMimi nisingeweza kuyatenda hayaUmenitoa mbali sanaNitaimba na ku kushukuru isingekuwa wewe bwanaUlivyonileta hapa mbali sanaUmenitoa mbali sanaNitaimba na ku kushukuru isingekuwa wewe bwanaMimi nisingeweza kuyatenda hayaUmenitoa mbali sanaNashukuru umeniona kati ya waliokuwa chini sana ukaniinuaBwana wanipenda, tena ukanibariki mimiHukuangalia hizi dhambi zangu zote mimiNausimulia wema wako bwana siku zoteNa leo nashuhudia bwana, matendo yako makuu sanaTena hayahesabiki bwana kamwe hayapimiki tenaAhadi zako ni za kweli, wanilinda na kunitunzaOna na keti yesu, meza na wakuu yesuAsante baba, yesu nakusifu leo nipe zaburi yako yesu niimbe niitumzeWewe ni muweza hakuna kama wewe bwanaNinawaza na kutathmini kichwani nakuona bwanaUlivyonileta hapa mbali sanaUmenitoa mbali sanaNitaimba na ku kushukuru isingekuwa wewe bwanaMimi nisingeweza kuyatenda hayaUmenitoa mbali sanaNinawaza na kutathmini kichwani nakuona bwanaUlivyonileta hapa mbali sanaUmenitoa mbali sanaNitaimba na ku kushukuru isingekuwa wewe bwanaMimi nisingeweza kuyatenda hayaUmenitoa mbali sanaMbali sana, umenitoa mbali sanaMbali sana, umenitoa mbali sanaMbali sana, umenitoa mbali sanaMbali sana, umenitoa mbali sana


Zabron Singers Songs

Related Songs