Leo nitakupa siri, ya maisha yanguUkiniona hivi ni mungu amenitendeaNimefanikiwaje ?Imekuwa kuwaje ?Mimi sijui kitu ni mungu amenitendeaYanini mimi nitamani nisipate, wakati alokugawia namjuaJe siyo yule mungu alompa yakobo barakaNilipoijua siri nikaenda, nikaketi nae chini akasemaHebu nieleze yote maswaibu yanayokusumbuaNikaziacha shida zangu kwake nikaomba huku nikimuaminiKuna wakati wa mungu, sahihi ukifika atanionaNakushukuru, umenikumbuka umenikumbuka tenaJehova, nissi kaniona kaniona tenaNimefurahi amenikumbuka amenikumbuka tenaMwanba ni yesu, kaniona kaniona yenaNilisema nimpe muda, karaka ya nini yupo mungu wanguJehova nissi, kaniona kaniona tenaHawahi wala hachelewi niogope nini mungu wangu yupoMwamba ni yesu, kaniona kaniona tenaNilisema nimpe muda, karaka ya nini yupo mungu wanguJehova nissi, kaniona kaniona tenaHawahi wala hachelewi niogope nini mungu wangu yupoMwamba ni yesu, kaniona kaniona tenaKuna wakati rafiki yangu alikata tamaaAlipoona majibu yako mungu kwangu umechelewaHakujua utampa nini, kwa wakati ulio sahiliTena zaidi ya maombi yako maana haujatusahauHukuniaibisha mungu, ulumtetea huyuMuda ulipofika wakumjibu ulimtendeaUsipotujibu leo, hata ukijibu keshoWewe wajua nini kusudi lako uamue hiviNakushukuru, umenikumbuka umenikumbuka tenaJehova, nissi kaniona kaniona tenaNiliogopa uliponyamaza nikahisi umenisahau mimiMwamba ni yesu, kaniona kaniona tenaNilisema nimpe muda, karaka ya nini yupo mungu wanguJehova nissi, kaniona kaniona tenaHawahi wala hachelewi niogope nini mungu wangu yupoMwamba ni yesu, kaniona kaniona tenaNilisema nimpe muda, karaka ya nini yupo mungu wanguJehova nissi, kaniona kaniona tenaHawahi wala hachelewi niogope nini mungu wangu yupoMwamba ni yesu, kaniona kaniona tenaNimefurahi amenikumbuka amenikumbuka tenaJehova nissi, kaniona kaniona yenaNakushukuru, umenikumbuka umenikumbuka tenaMwamba ni yesu kaniona kaniona tena