Namtafuta bwana, yule yule wa ushindiMi ndo peke najua, wapi aliponitoaNina historia uzoefu wa ushindiKwa macho nimeona, mungu alivyonibebaFrom zero to hero, from nothing to somethingName leo ni mtu, katikati ya watuHakuna kama mungu, alitamka ikawa ikatokeaUmbali tumefika, ni huyu yesuAsingekuwa mungu, tusingefika hapaNami kama akida bwana ukisema neno tuHapa nilipo, shida zangu zitakomaaYani kama akida, bwana utamke neno tu, hebu sema nenoHapa nilipo, shida zangu zitakomaaNami kama akida bwana ukisema neno tuHapa nilipo, shida zangu zitakomaaEe yani kama akida, bwana utamke neno tu, hebu sema nenoHapa nilipo, shida zangu zitakomaaZitakoma; shida zangu zatakoma sema nenoHapa nilipo, shida zangu zitakomaaZitakoma; shida zangu zatakoma bwana sema nenoHapa nilipo ee hapa nilipoBwana hapa nilipo ee yesu hapa nilipoShida zangu zitakomaAkida aliishi na mtumwa aliyempendaAkaugua kiasi cha atakufaAkatuma wazee wamuite yesu Aje nyumbani mwakeEe alipotuma wazee wamuite yesu nyumbani kwake ajeIli amponye huyu mtumwa wakeKabla afike tena katuma wajumbeYesu wala usisumbue kutika nyumbani kwa akidaSema neno tu hapo ulipoNa mtumwa ataponaYesu akaugeukia mkutanoKawaambia sijaona, israeli jii yote sijaonaImani kubwa kama hiiWalipofika nyumbani kuleNyumbani kwa yule akidaWalimkuta mtumwa yuleTayari kashaponaNami kama akida bwana ukisema neno tuHapa nilipo, shida zangu zitakomaaYani kama akida, bwana utamke neno tu, hebu sema nenoHapa nilipo, shida zangu zitakomaaNami kama akida bwana ukisema neno tuHapa nilipo, shida zangu zitakomaaEe yani kama akida, bwana utamke neno tu, hebu sema nenoHapa nilipo, shida zangu zitakomaaZitakoma; shida zangu zatakoma sema nenoHapa nilipo, shida zangu zitakomaa