Willy Paul - Diana Lyrics
Lyrics
Kwa nini ukiniitisha mi nashindwa kukunyima, Kamote! Ukinituma nakimbia, izo ni kamote Utakuja kuni murder, kamote Nione huruma mama ee (Pozee)
Nilitaka niguse nilambe Sikutaka twende far Nilitaka tu niguse nipepete Sikutaka twende far
Oooh Diana hii ni Kamote Navyo jifeel sielewi hii ni kamote Oooh Diana hii ni Kamote Navyo jifeel sielewi hii ni kamote
Ona sa Diana umenimurder nguvu Kila time tu ni sekete Diana umenimurder nguvu Kila time tu ni sekete
Aii Diana ah Ah Diana Diana Diana ah Diana
Watoto wako naosha, tena napanguza yoh, aje? Chupi zako mi nafua tena nakausha yoh, aje? I'm in your house and I don't know why Naosha vyombo and I don't know why
Now I've fallen deep in love, kamote Ona sasa navyokupenda, kamote Hizi ni madumba mama Mimi mtoto wa mama
Oooh Diana hii ni Kamote Navyo jifeel sielewi hii ni kamote Oooh Diana hii ni Kamote Navyo jifeel sielewi hii ni kamote
Ona sa Diana umenimurder nguvu Kila time tu ni sekete Diana umenimurder nguvu Kila time tu ni sekete
Aii Diana ah Ah Diana Diana Diana ah Diana
Watoto wako naosha, tena napanguza yoh, aje? Chupi zako mi nafua tena nakausha yoh, aje?
Aii Diana ah Ah Diana Diana Diana ah Diana
Ona sa Diana umenimurder nguvu Kila time tu ni sekete, oh yeah Diana umenimurder nguvu Kila time tu ni sekete
Nilidhani itakuwa one night stand One night stand Nilidhani itakuwa one night stand One night stand
Video
Willy Paul - Diana ( official video )