Nyashinski - Too Much Lyrics

Lyrics

Niko na too much on my mind Just enough in my account It's jusy enough kukuwa na vices Mbona natry kuzihide?  Mbona natry kuzihide?

Too much on my mind Just enough in my account It's jusy enough kukuwa na vices Mbona natry kuzihide?  Mbona natry kuzihide mimi?

Too close to the edge (Usinipush) Usinipush niko too close to the edge (Mafala dush) Mafala dush wanataka kunitest (Nataka roof) Nataka roof ya convertible nitoe

Kichwa nnje ndo hizi macookie zipoe Mi niliona tu nisinyoe, nyi mnaona tu nisioe Tunaenda mbali tafuta nganji ka uko na mzuka isipoe Uko lucky ka niko lucky si si wote tuenjoy

Nikishika kakitu tuka-share Mi hujificha tu ka fame Mambo ya mziki inaenda nywee Jah anajua mahali ametuweka Uko wapi wewe -- wa kupewa Na wakungoja wa kupewa wakupee

Niko na too much on my mind Just enough in my account It's jusy enough kukuwa na vices Mbona natry kuzihide?  Mbona natry kuzihide?

Too much on my mind Just enough in my account It's jusy enough kukuwa na vices Mbona natry kuzihide?  Mbona natry kuzihide mimi?

Eka kioo ukitaka kuteka pretender Unafuata check sana check inakuchenga Unageuza next sana wife anaboeka Unapanda stage naona uwoga inakuhepa

Unaficha ndom ndani ya socks unatekwa Unapata form unajipox bila pressure Unaenda bash unaona Molly zinamezwa Unaona Nyash unajua quality inatesa yeah Tesa yeah, aaah mmmh

(Yeah yeah yeah)

Close to the edge Too close to the edge (Usinipush) Usinipush niko too close to the edge (Mafala dush) Mafala dush wanataka kunitest (Nataka roof) Nataka roof ya convertible nitoe

Kichwa nnje ndo hizi macookie zipoe Mi niliona tu nisinyoe, nyi mnaona tu nisioe Tunaenda mbali tafuta nganji ka uko na mzuka isipoe Uko lucky ka niko lucky si si wote tuenjoy

Niko na too much on my mind Just enough in my account It's jusy enough kukuwa na vices Mbona natry kuzihide?  Mbona natry kuzihide?

Too much on my mind Just enough in my account It's jusy enough kukuwa na vices Mbona natry kuzihide?  Mbona natry kuzihide mimi?

Video

Nyashinski - Too Much (Official Audio)

Thumbnail for Too Much video
Loading...
In Queue
View Lyrics