Nyashinski - Properly Lyrics

Lyrics

Hallo! (Cedo) Hallo! Kama we ni mwenyeji (Mmmh mmh) We ni mwenyeji (Hallo) Kama we si mwenyeji (Mmmh mmh) Mind your business

Ka unataka ule anaichapa mpaka ilale Basi harakisha njoo na Nyumba inanukia shasha money Usitume nini kwa floor na

Msupa ako mood ya ladha gane Tunaeza enda fasta au slow baby Naiva nikiskia ma Bob Marley Nikitafta plan ya doh, yeah

Hatuanzishi vita tunamaliza Nani ukiniita tuma mamita Hao ma lip syncher wanawaingiza Napanda stage ju naona miujiza

Originator, baba wa keja Wananitii wananiiga Nilikuwa nachoma mpaka kwa filter Ka bado uko ushago, hallo

Life iko order Mpaka ukweli inasound unachocha Vile naifanya sio hoja  Huku East si ni si tunazoza Tunaifanyanga, proper  (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyanga, proper (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyaga

Sikudai number 2 wakanichuja daro So nikajenga shule waje walipe karo Sai mi ndio speaker Frank Ole Kaparo Matutor zinapiga ki Usman Kamaru

Kwa fam ya kipunk sikutoka So fam ya kipunk itatoka kwa mimi Amini ni jasho na damu zinatoka Nikiroga hii injili naitreat kama dini

Sai ma divai zinakuja na mzinga Wananidai na ni juzi waliringa Mungu akisense unajua huwezi pinga Odds ziko right mi sichezi na tinga

Okay! Ki Femi kijembe kikali Bila budi inabidi wakubali Watajali ujue nani hakujali Hii maisha ni kali naichase na makali

Life iko order Mpaka ukweli inasound unachocha Vile naifanya sio hoja  Huku East si ni si tunazoza Tunaifanyanga, proper  (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyanga, proper (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyaga

Guess nani ako in the zone (Aje) Na anafeel right at home (Aje) Utajua nilikuwa kwa chuom (Aje) Na harufu ya cologne (Ssaru)

Na sijawahi kosaga form (Sare) Last year niliuza maphone (Sare) Jana niliota naperform (Sare) Na kabla ya kuota niliperform huh

Short na uliknow kwa cliff Kabla ujue mambo ya drone Blunder imejaa na Keith Nadry ni ka na clone

Mkiuliza nana ni gwiji hapa  Mi naskianga ka mnanikosea heshima Hamwezi nipima, hamwezi nizima Na nimeingia naskia wananiambia?

Life iko order Mpaka ukweli inasound unachocha Vile naifanya sio hoja  Huku East si ni si tunazoza Tunaifanyaga, proper (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyanga, proper (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyaga

Video

Nyashinski - Properly ft Femi One (Official Music Video)

Thumbnail for Properly video

Meaning & Inspiration

not a christian song.

Loading...
In Queue
View Lyrics