Kwani ni Jambo lipi hilo - Liseme

by Sarah Kiarie | in Sifa
Buy Mp3

Hamna jambo Yeye asiloliweza

Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza

Liseme, liseme, litaje, litaje

kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza

Yeye ni Baba wa yatima, Yeye ni mume wa wajane

Yeye ni mponyaji. Yeye ni mkarimu
Mlinzi, mfariji wa ajabu.

Yeye ni mponyaji, Yeye ni mkarimu
Mlinzi, mfariji wa ajabu

Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Kwani Ni Jambo Lipi Hilo - Liseme:

0 Comments/Reviews