Sifa Lyrics

Umeniosha by Paul Mwangosi cover art

Paul Mwangosi - Umeniosha Lyrics

Artist:
Paul Mwangosi

Lyrics

Umeniosha Bwana 


kwa damu yako 


Umeniosha Bwana 


Kwa damu yako 


Umeniosha Bwana 


Kwa damu yako 


Nasikia kuitwa 


Na sauti yako 


Nikasafiwe kwa damu 


Ya kuangikwa kwako 


Nimesogea mtini pako 


Unisafi kwa damu 


Ya kuangikwa kwako


Video