The Saints Ministers

Ajua Yote Mwamini Lyrics

Yesu ajua machungu yako 
Ameona machozi yako 
Asema niko nawe mpendwa 
Usiogope chochote 

Mwamini mwokozi ajua yote 
Nakusihi mwachie akushugulie kamilifu 

Ajua yaliyo moyoni mwako 
Mateso umeyapitia 
Ni mwema hatakuacha 

Mwamini mwokozi ajua yote 
Nakusihi mwachie akushugulie kamilifu 


Ajua Yote Mwamini Video

Source: Ajua Yote Mwamini Lyrics - The Saints Ministers