Baba Yetu

Mp3

Baba yetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako
Wewe hulinganishwi na yeyote duniani
Mbingu na nchi zakusifu, jua na mwezi vyakutukuza
Wanyama wa pori, ndege wa angani
Sifa tele kwako Bwana

Hoiye! Sifa zetu, Hoiye! ni zako zote
Hoiye! Usifiwe, Hoiye! Milele Bwana

Tukiomba kwako Baba, sikio lako li wazi kwetu
Macho yako yatuona; sisi watoto wako
Ulimtoa Yesu, mwana wako wa pekee
Alikufa msalabani; sasa tuko huru

Hoiye! Sifa zetu, Hoiye! ni zako zote
Hoiye! Usifiwe, Hoiye! Milele Bwana

Hoiyee
Hoiye! Sifa zetu, Hoiye! ni zako zote
Hoiye! Usifiwe, Hoiye! Milele BwanaTop Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Baba Yetu:

5 Comments/Reviews

 • Nancy

  Amazing. 1 year ago

 • Kiaira Ann Mukiri

  Wonderful adoration to God,it's my breakfast since the last Sunday of November 2018 1 year ago

 • Phyllis Joy

  I love this song every time I listen to it I just feel blessed. Keep it up bro Reuben 1 year ago

 • JOAN

  The artist is Reuben Kigame 2 years ago

 • Joseph Kihara

  My query is all about knowing the original artist who did you this wonderful song.....
  Thanks so much for the lyrics. God bless you 2 years ago