Kidum - Corona Lyrics

Lyrics

Virusi  hivi vya corona vimetufanyia Binadamu kote ulimwenguni Halafu maambukizo zinaenda kwa Kasi Virusi hivi vimeleta taaruki kwote ulimwenguni shughuli zote zimekwama

Sababu la gonjwa hili hatari Tajiri kwa masikinj Corona ugonjwa hili  Halitambui tushikamane tupambane na adui Wowo nasema jangili hatari tuzingatie maagizo ya serikali 

Mamlaka ya afya wanafanya kila juhudi ili  Mimi na wewe tuwe Salama janga hili limeporomosha Uchumi ooooh mataifa yote yametangaza Hali hatari Tuko vitani na adui tusiyemuona na macho Anaitwa Nani Corona Virusi inauwa Corona Virusi haina dawa

Corona inauwa Corona Virusi haina dawa Ukistaajabu ya Musa nakuambia bado utaona ya virauni  Viwanja vya ndege ,makanisa ,Mipaka ya nchi Vyote vimefungwa Mikusanyiko ya umma imepigwa marufuku ili kutulinda Jamani hili janga limeangamiza dunia Tufuateni maagizo tunayopewa Nisikize ugonjwa hili hatari  Tuzingatie maagizo ya serikali

Tuko vitani na adui tusiyemuona na macho Corona Virusi inauwa ,Corona Virusi inauwa Corona Virusi haina dawa  Corona Virusi haina dawa ,Corona Virusi inauwa  

Video

Kidum- Pandemic Song (Official Music Video)

Thumbnail for Corona video
Loading...
In Queue
View Lyrics