Ninashuka Chini Lyrics - Essence of Worship
Essence of Worship swahili
Chorus:
Ninashuka chini
Ninashuka chini sasa
Yesu uinuliwe, Yesu uinuliwe
Ninashuka Chini Video
Ninashuka Chini Lyrics
Ninashuka chini
Ninashuka chini sasa
Yesu uinuliwe, Yesu uinuliwe
Ninashuka chini
Ninashuka chini sasa
Yesu uinuliwe, Yesu uinuliwe
Napungua ili wewe Bwana uongezeke
Yesu uinuliwe
Yesu uinuliwe
Wengine wataja mali zao
Bwana Yesu nalitaja jina lako
Yesu uinuliwe, Yesu uinuliwe
Ninashuka chini
Ninashuka chini sana
Yesu uinuliwe, Yesu uinuliwe
Pokea sifa zote
Heshima utukufu
Yesu uinuliwe, Yesu uinuliwe
Ninashuka chini
Ninashuka chini sana
Yesu uinuliwe, Yesu uinuliwe