Willy Paul - Hukuniacha Lyrics

Contents: Song Information
  • Song Title: Hukuniacha
  • Album: Hukuniacha - Single
  • Artist: Willy Paul
  • Released On: 11 Aug 2019
  • Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Willy Paul Hukuniacha

Hukuniacha Lyrics

Willy willy
Willy paul
Ahh ehhh ahh ahh
Ulisema sitolia maulana ehh
We mpenzi wa mine
Mi mpenzi wa yours ehhh
Sio me nikimpenda mwingine mee
Nikama chezo alikupenda wewe
Sio me nimtafuta mwingine
Nikama chezo alikutafuta wewe
Sio me nikimpenda mimi
Nasio me nikimtafuta aya ayii ayaa
Nilusu nikwite mpenzi
Uliza baba tisho nijitie kitanzi?
Oya kwangu ulinipa bure ehh
Na mpenzi ah mpenzi ahh ahh
Na mpenzi ah mpenzi ah ahh


Hukuniacha Video

Willy Paul Songs

Related Songs