Willy Paul - Chocolate Lyrics

Chocolate Lyrics

Basi kama we kitanda
Mi ndio kwichi kwichi
Aah tamu halua jigi jigi
Basi ting badi malo niku gidi gidi
Basi kama we kitanda
Mi ndio kwichi kwichi
Aah tamu halua jigi jigi
Basi ting badi malo niku gidi gidi
Wanasema kibaya chajitembeza
Wanasema kizuri chajiuza
Umeniwacha mdomo wazi
Namwaga mate
Na ukamtoa nyoka pangoni
Eeh eeiih usije nizingua
(Ooh unanipa furaha isio la kifani oh
Ooh unanipa furaha isio la kifani oh)   
Mashallah

Mpenzi wewe ni chocolate
Ooh baby chocolate
Wewe ni chocolate
Oh mamy chocolate
Mpenzi wewe ni chocolate
Ooh baby chocolate
Wewe ni chocolate
Oh mamy chocolate

Baby hata kwenye okada mi nitakubeba
Na wenye roho mbaya wataona mbaya, wataona fire
Jameni mapenzi kivuruge, inavuruga
Kimenikata maini,mwenzenyu hata si amini
Mapenzi ina changanya,
Mpaka matonya anaimba violeti
Inachanganya mpaka mwenzenyu naimba chocolati
Changanya mpaka  na chibu anaimba jeje jeeeh
Na kiba aje, nifanye aje
(ooh unanipa furaha isio la kifani oh)  
Mashallah

Mpenzi wewe ni chocolate
Ooh baby chocolate
Wewe ni chocolate
Oh mamy chocolate
Mpenzi wewe ni chocolate
Ooh baby chocolate    
Wewe ni chocolate
Oh mamy chocolate

(Ooh unanipa furaha isio la kifani oh)  
Mashallah
(Ooh baby tamu chocolate )


Chocolate Video

Willy Paul Songs

Related Songs