Willy Paul - Aheri Mama Lyrics

Album: The African Experience
Released: 26 Nov 2021
iTunes Amazon Music

Lyrics

Oooh mama mama Oooh mama mama Oooh mama mama Oooh mama mama

I could never ask for more Mama amour, nyawa aheri mama I could never ask for more Mama Amour, nyawa aheri mama

And there is a day, ninakuita mama (Aheri mama) And there is a day, ninakuita mama (Aheri mama)

Najua kuna wale hawanao mama, sio kupenda kwao Najua kuna wale hawatanielewa na sio kupenda kwao Ile nyumba fathe hakumalizia, nikumalizie mama Ile nyumba fathe hakumalizia, nikumalizie mama Ile deni mathe uliomba, nikumalizie mama Na ile nguo ulitamabni ya jirani, nikununulie mama

Mama (Mama) aah mama Mama (Mama) aah mama Mama (Mama) aah mama Mama (Mama) aah mama

I remember Salome Nilipokosea ulinichapa kidogo Na nilipokosa chakula mama Ulitafuta kidogo Ata sijui mbona nalia, mbona nawaza mama Sijui mbona nalia, sijui mbona nawaza mama mama (Iii iii)

Mama (Mama) aah mama Mama (Mama) aah mama Mama (Mama) aah mama Mama (Mama) aah mama

Mathe najua unam-miss mume wako fathe Ooh pole aisee, nimmiss kama mwana wake Mama I got u, anything you want just tell me Mama I got u, anything you want just tell me  Mama mama Mama I love you mama, aheri mama 

Video

Willy Paul ft Okello Max - Ahere - ( Official Visualizer )

Thumbnail for Aheri Mama video
Loading...
In Queue
View Lyrics