Sifa Lyrics

Tutatembea by The Saints Ministers cover art

The Saints Ministers - Tutatembea Lyrics

Artist:
The Saints Ministers

Lyrics

 Chorus


 Tutatembea, tembea kwa furaha,furaha tukiwa na Mwokozi,


     Kwenye Milango milango ya dhahabu dhahabu tukiwa na furaha.



  1. Hakutakuwepo na mambo yote maovu kwenye makaoni juu,


Shida taabu na dhiki zinazotusumbua hazitakuwepo juu. 



  1. Wale ambao watakuwa naye mwokozi watakuwa washindi,


   Walioshinda dhambi zinazotukabidhi tukiwa duniani.



  1. Wakati huu wa hofu ambapo kuna mambo mabaya ya kutisha,


  Ndio wakati ambapo sote twatakiwa tukeshe kwa Maombi.


Video