Kidoe Lyrics

Shangwe Voices sifa

Kidoe eeh, kidoe 

Mtenda miujiza yuko hapa leo 
Amebeba majibu ya maswahli yangu 
Napokea miujiza kwa imani Yangu 
Ninamfurahia huyu yesu wangu 

Mtenda miujiza yuko hapa leo 
Amebeba majibu ya maswahli yangu 
Napokea miujiza kwa imani Yangu 
Ninamfurahia huyu yesu wangu 

Napokea majibu (Napokea majibu) 
Napokea majibu (Napokea majibu) 
Napokea majibu (Napokea majibu) 
Kutoka kwa Yesu (Napokea majibu) 
Kwa imani Yangu (Napokea majibu) 

Nacheza kidoe (Nacheza kidoe) 
Nacheza kidoe (Nacheza kidoe) 
Nacheza cheza kidoe 
Iye iye kidoe na kidoe  
Nacheza kigogo, nacheza kidogo

Yahweh Yahweh
Yelele yelele ma 
Buye Buye Yahweh (Yahweh)  

Nacheza kidoe (Nacheza kidoe) 
Nacheza kidoe (Nacheza kidoe) 
Nacheza cheza kidoe 


Kidoe Video