Sifa Lyrics

Naikuinulia Mikono by Shangwe Voices cover art

Shangwe Voices - Naikuinulia Mikono Lyrics

Artist:
Shangwe Voices

Lyrics

Nakuinulia mikono nasema asante 


Nakuinulia mikono nanajitoa kwako 


Bwana nakuinulia mikono nasema asante 


Nakuinulia mikono nanajitoa kwako 


Nakuinulia mikono nasema asante 


Nakuinulia mikono nanajitoa kwako 


Yesu unipendaye kwako nakimbilia 


Ni wewe unitoshaye mwovu akinijia 


Yafiche ubavuni mwako maisha yangu 


Nifikishe mbinguni uinue moyo wangu 


Na na na 


Nakuinulia mikono nasema asante 


Nakuinulia mikono nanajitoa kwako 


Nakuinulia mikono nasema asante 


Nakuinulia mikono nanajitoa kw


Video