Rebekah Dawn - Bila Wewe Lyrics
Contents:
Siwezi kuimba bila wewe
Sisongi mbele bila wewe Yesu
Siwezi kuishi bila wewe
Uwezo wangu ni wewe tu
Roho yangu yakutamani
Nakuhitaji Yesu
Nafsi yangu yakulilia
Nakuhitaji Yesu
Ninacho tafuta ndio wewe
sitosheki na kingine ila wewe, Yesu
Singefika nilipo bila wewe
Ndoto yangu ni wewe tu
Roho yangu yakutamani
nakuhitaji Yesu
Nafsi yangu yakulilia
Nakuhitaji Yesu nilete karibu nawe
Roho yangu yakutamani
Nakuhitaji Yesu
Nafsi yangu yakulilia
Nakuhitaji Yesu