Kuna yule aliyenipenda
Si kwa ajili ya mali
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala hasizinzii
Hata leo hajawai kunichoka eeeh
Kuna yule aliyenipenda
Si kwa ajili ya mali
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala hasizinzii
Hata leo hajawai kunichoka
Sikutafuta ni yeye alikuja kwangu
Ningawazaje makosa yangu
Yesu alinipenda wa kwanza
Nikamwamini yeye kanisamehe dhambi
Upendo wake Yesu yeye wanishangaza
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Write a review/comment/correct the lyrics of Rafiki Mwema:
I need to know this group is from which country 1 year ago
Groupe chandelier de Glolire
In the DRC
The song blesses so much that it reminds me of who God is,thank you. 1 year ago
Nabarikiwa sana na nyimbo hii 1 year ago
I LOVE THE SONG , IT REALLY BLESSES ME 1 year ago
Mungu Akubariki sana kwa wimbo mzuri binafsi umeniudumia kupitia wimbo huu nainuliwa siku ata siku Glory to God be blessing 1 year ago
Nakupenda sanya hii nyimbo inanitiamoyo 1 year ago
This song is really touching and i love itso much God bless Group chandeliar de gloire 1 year ago
Good song 1 year ago