Sifa Lyrics

Naja Kwako Bwana by MJCN Goma cover art

MJCN Goma - Naja Kwako Bwana Lyrics

Artist:
MJCN Goma

Lyrics

Dhambi zangu mimi zimenifunga


Ninaja tena na makosa 


Ninakuja kwako uniokoe 


Unisafishe unitakase Bwana 


Dhambi zangu mimi zimenifunga


Ninaja tena na makosa 


Ninakuja kwako uniokoe 


Unisafishe unitakase Bwana 


Dhambi zangu mimi zimenifunga


Ninaja tena na makosa 


Ninakuja kwako uniokoe 


Unisafishe unitakase Bwana 


Naja kwako nikubali nitakase 


Mimi mwenye dhambi nyingi 


Nikubali nitakase 


Naja kwako nikubali nitakase 


Mimi mwenye dhambi nyingi 


Nikubali nitakase 


Video