Lyrics
Magumu hayanifanyi kusahau kuwa
wewe ni mungu
Machozi hayanifanyi kusahau kuwa
wewe ni mtetezi wangu
Magumu hayanifanyi kusahau kuwa
wewe ni mungu
Machozi hayanifanyi kusahau kuwa
wewe ni mtetezi wangu
Haukunileta umbali huu
uniache
uniache
Haukuniinua juu huu
Niangushe
Niangushe
Wakuaminika Baba
nimekuamini
nimekuamini
Umefanyika nguvu
katika udhaifu wangu
wakati wa hofu umenikumbatia Yesu
na pasipokushinda
umetupa mwelekeo
Kwa uamninifu wako nimesimama
Kwa uamninifu wako nimesimama
Wakuaminika Baba
nimekuamini
nimekuamini
Nitakuamini tu
Nitakuamini tu
Nitakuamini
Jeovah Jireh
Nitakuamini tu
Mungu wamgu we
Nitakuamini tu
Mungu wamgu
Nitakuamini tu
Mwaminifu Yesu
Rafiki wangu
Yesu Nani kama wewe
Wakuaminika Baba
nimekuamini
nimekuamini
Wakuaminika Baba
nimekuamini
nimekuamini