Rafiki Mwema

Mp3

Kuna yule aliyenipenda 
Si kwa ajili ya mali 
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu 
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine 
Huyu halali wala hasizinzii 
Hata leo hajawai kunichoka eeeh 

Kuna yule aliyenipenda 
Si kwa ajili ya mali 
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu 
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine 
Huyu halali wala hasizinzii 
Hata leo hajawai kunichoka 

Sikutafuta ni yeye alikuja kwangu 
Ningawazaje makosa yangu 
Yesu alinipenda wa kwanza 
Nikamwamini yeye kanisamehe dhambi 
Upendo wake Yesu yeye wanishangaza 

Yesu huyu Yesu rafiki mwema 
Yesu huyu Yesu ninakupenda 
Yesu huyu Yesu rafiki mwema 
Yesu huyu Yesu ninakupenda 

Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema 
Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema 
Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema 

Yesu huyu Yesu rafiki mwema 
Yesu huyu Yesu ninakupenda 
Yesu huyu Yesu rafiki mwema 
Yesu huyu Yesu ninakupenda 


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Rafiki Mwema:

18 Comments/Reviews

 • Happy Laurent

  I like this song it is so powerful 6 days ago

 • Blessed

  It's a blessing to me 4 weeks ago

 • Kelvin Kuta

  Ilove the song, 1 month ago

 • Careen Mmbaga

  I love your songs coz they increase my faith and hope in Jesus Christ, you made me notice how important he is to me 3 months ago

 • Rhager Mao

  Am much blessed,taken to higher levels of worship..mbarikiwe sana Groupe chandelier de Glolire 4 months ago

 • Josephat

  Napenda san kusikia nyimbo zen zina niunganisha na mung 6 months ago

 • Patient

  Que puis-je faire pour télécharger cette chanson? elle n'est pas sur tubidy 6 months ago

 • Patient

  Merci Pour La Chanson Inspirée 6 months ago

 • Geoffrey

  Mungu amewapa hekima iliyo ya juu sana,jinsi mumeupanga muziki ni ya ajabu.Mfikie mataifa tote duniani. 6 months ago

 • Joseph Shilinde

  Kazi kazi kazi katika MUNGU kundi mumefanya nimebarikiwa na kundi hili wapi upo.. 7 months ago

 • Load More Comments