Martha Mwangi - Nataka Nikujue Nikufahamu Bwana Lyrics

Lyrics

Nataka nikujue nikufahamu Bwana 
Nataka nikujue nikufahamu Bwana 
Moyo wangu watamani nataka nikujue 
Moyo wangu watamani nataka nikujue .

Niko kama vile tasa atafutavyo mwana
Niko kama vile tasa atafutavyo mwana
Moyo wangu watamani nataka nikujue .

Nataka nikujue nikufahamu Bwana 
Nataka nikujue nikufahamu Bwana 
Moyo wangu watamani nataka nikujue 
Moyo wangu watamani nataka nikujue .



Video

Martha Rena - Nafsi yangu yakungoja Bwana (Official video) with English Subtitles

Thumbnail for Nataka Nikujue Nikufahamu Bwana video
Loading...
In Queue
View Lyrics