Mungu wa Neema - Ni Wa Neema Mungu Baba

by Ali Mukhwana | in Sifa
Mp3

Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa 
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa  .

Kama sio nguvu zako Baba 
Nalia mimi ningekuwa wapi nakupenda aah?  
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa  .

Ukanitoa mavumbini Baba 
Ukaniita kwa jina lako  
Mwokozi wangu woo-ooh
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa  .

Angalia dunia mbingu yote uliumba 
Kwa jina lako Baba nakupenda aah 
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa  .

Ni wa neema, ni wa, ni wa neema kubwa eeh 
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa  .

Usiku na mchana tulipata chakula cha kila siku 
Eeeh ndio maana tunasema sisi 
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa  .

Baba nani kama wewe unashugulikia wajane na mayatima 
Wanyonge na wadhaifu 
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa  .

Yesu huyu haangali kabila lako eeh 
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa  .

Nani mwanaume kama Yesu 
Nani mwenye nguvu kama zako 
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa  .

"Yeye ni simba wa yuda 
Yeye ni kimbilio letu 
Hakuna Mungu kama yeye" 
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa  .

Wacha kulilia majirani wako mama eeh 
Mlilie huyu Yesu mwenye uweza ooh
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa   .

Akikubariki mama nani wa kupinga 
Mwongoza njia eeh mama yee 
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa  .

Ni wa neema, ni wa 
ni wa neema, ni wa neema kubwa 
Ni wa neema Mungu Baba 
Ni wa neema kubwa 


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Mungu Wa Neema - Ni Wa Neema Mungu Baba:

2 Comments/Reviews

  • Margaret

    Nyimbo hii imenibariki imeniinua kiwango kikubwa katika Imani yangu. Mungu abariki kipaji Cha muimbaji. Ujumbe huu uwafikie watu wote na wajue kuwa Mungu ni wa neema. How can I get the song 3 months ago

  • Martin Luther Oyinfo

    I love the song so much. God bless u for composting such a song that list actually lifts our hearts spiritually to God 1 year ago