Eunice Njeri - Nani Kama Wewe Live Lyrics
Lyrics
Skiza Tune: Dial *811*345#
Nani kama wewe
Nakuinua mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda
Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe nakupenda
Miguuni pako nakuinamia Bwana
Heshima na utukufu Baba, nakupa Yesu
Video
Eunice Njeri - Nani Kama Wewe Live |Official CRM Video|[Dial *811*345# To Set As Your Skiza Tone]