Erick Smith - Not By Chance Lyrics

Not By Chance Lyrics

Aah aah ah ah ah 
Oh woh woh woh 

I know that what I am today 
Si kwa nguvu zangu 
But it is the grace that has made 
Me who I am today 
You have deposited 
Your riches in my hands oh Lord 

And against me 
My enemies can never succeced 
The legacy you bequeathed for the saints 
Oh Lord is like the tree 
In the middle of the garden 

It's not by chance oh 
It's not by might oh, 
But it's the grace 
That has favoured me oh 

Si kwa bahati, 
si kwa nguvu zangu 
Bali ni neema 
Nimejaliwa mimi  

Nilipozaliwa sikujua kesho yangu itakuwaje 
Kupata chakula aah  
Karo ya shule mavazi ilikuwa ni shida 
Kama Jeremiah ukaniambia 
Nilikujua kabla hujazaliwa 
Nikajua kesho yangu imo mikononi mwako Bwana aah 
Nimetulia amani furaha nimepata ndani mwako 
Bwana wangu, thank you for the favor upon my life 

Thank you, thank you 
Thank you, thank you  
For the favor upon my life 

Asante, asante 
Asante, asante 
Kwa kibali yako ju ya maisha yangu 

Nasema asante kwako Bwana 
Baba yangu, nakuinua wewe tu Yesu 
Upewe sifa Bwana, asante Yesu 
Asante Baba, Baba, Baba 

It's not by chance oh 
It's not by might oh, 
But it's the grace 
That has favoured me oh 

Si kwa bahati, 
si kwa nguvu zangu 
Bali ni neema 
Nimejaliwa mimi 

Asante Yesu, Oh 
Kwa neema Yako tu 
Bwana naishi leo 


Not By Chance Video

Erick Smith Songs

Related Songs