Sifa Lyrics

Hakuna Kama Yesu by Edson Mwasabwite cover art

Edson Mwasabwite - Hakuna Kama Yesu Lyrics

Artist:
Edson Mwasabwite

Lyrics

Nataka na mimi niimbe


Nataka na mimi niimbe (imba) 


Nataka na mimi niimbe


Hakuna kama Yesu 


Acha na mimi niimbe 


Acha na mimi niimbe (imba) 


Acha na mimi niimbe 


Hakuna kama Yesu


Nimezunguka zunguka sana mimi ye


Kutafuta mtu wa kufanana na Yesu 


(Oh mimi sijaona ) 


Nani mwanadamu mwenye huruma kama zake Bwana Yesu 


(Oh mimi sijaona) 


Anayekubali kuacha vyote kuajili ya mtu mwingine 


Oh ni Yesu tu uu (Oh mimi sijaona) 


Alikubali kuacha vyote mbinguni kwa Baba yake 


Akashuka kwetu (Oh mimi sijaona) 


Oh anayefanana kidogo, anayelingana kidogo 


Anayemkaribia (Oh mimi sijaona) 


Hakuna mwanaume kama Yesu, hakuna mwenye nguvu kama Yesu 


Hakuna mkuu kama Yesu (Oh mimi sijaona) 


Angalia mambo yake Yesu, matendo yake Yesu 


Nguvu zake Yesu (Oh mimi sijaona) 


Sijaona kama yeye, kama yeye Bwana 


Mponyaji na mwokozi (Oh mimi sijaona) 


Oh hakuna kama Yesu, kama Yesu, kama Yesu 


Oh mwenye nguvu kama Yesu, kama Yesu sijaona  


Oh hakuna kama Yesu, kama Yesu, kama Yesu 


Mwenye upendo kama Yesu, kama Yesu, kama Yesu sijaona 


Oh hakuna kama Jehovah (aaah), kama Jehovah (eeeh)


Kama Jehovah (Hakuna kama Yesu) 


Aliyetufia kalivari (aaah), eeeh (eeeh) 


Ili sisi tupone (Hakuna kama Yesu) 


Hakuna kama Jehovah(aaah), kama Jehovah (eeeh) 


Kama Jehovah (Hakuna kama Yesu) 


kama Yesu, (aaah), kama Yesu (eeeh) 


Kama Yesu (Hakuna kama Yesu) 


Mwenye nguvu mwenye mamlaka (aaah) aa aah 


Eeeh , Hakuna kama Yesu 


Sijaona kama Yesu, (aaah), kama Yesu (eeeh) 


Sijaona mimi(Hakuna kama Yesu) 


Anayetupenda anayetujali (aaah) eeh (eeh)


Sijaona mimi, (Hakuna kama Yesu) 


...


Video