Wewe ni Mungu, mpasua bahari
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .
Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
(rudia toka juu)
Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi toa
(rudia)
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .
Si mwepesi wa hasira
Unaghairi mabaya
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .
Mungu mwenye wivu
Unatunza maagano
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .
Katikati ya gadhabu
Unakumbuka rehema
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .
Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi kutoa
(rudia x4)
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Write a review/comment/correct the lyrics of Haufananishwi:
This song is a such a great blessing to me! I listen to it each day. 1 year ago
Blessed worship 1 year ago
I love this song. God bless you with more anointed songs 1 year ago
congratulations your song has a great message and am blessed may the lord give you a supernatural annointing in JESUS name 1 year ago
i love the song , soo touching and blessing. i realy feel blessed 1 year ago
correction: where you have written "katikati ya dhahabu" should be "katikati ya gadhabu" 1 year ago
Noted
“katikati ya dhahabu” should be “katikati ya ghadhabu” not “gadhabu”.
Amen sana!
What great worship!! 1 year ago
Nothing can be compared to the Lord God.
1 year ago
Nice worship.. 1 year ago
Powerful worship. The song blesses me so much 1 year ago