Ben Pol - Show Off Lyrics

Album: Show Off - Single (feat. Darassa) - Single
Released: 28 Aug 2023
iTunes Amazon Music

Lyrics

Kaomba kapewa Kaonja kalewa Nami ndio nishamuelewa Nikimkosa nakua kama nachelewa Nyota mbalamwezi Mwanamke amazing Mbona hawakuwezi Kama unakuuga na ngekewa

Siri sio siri tena Penzi hadharami Usipo mkuta kwangu Sasa atakua kwa nani Siri sio siri tena Mambo hadharani Usipo mkuta na mimi Sasa atatamba na nani Aaaahh aaaahh aaaahh aaaahh Show off Aaaahh aaaahh Aisse show off Aaaahh aaaahh Kama unampenda show off Kama unampenda show, show off

Mapenzi yalisha nitesa roho I said I better let it go Toka nimekutana na wewe Mbona naona tunapendana Washaa niumiza sana roho Unampenda mwanamke much know Toka nimekua na wewe Kama mapacha tunafanana Mapenzi huwaga complicated Sometime you do whatever is taking Watu watakuambia utasikia nonsense Maana hisia ikiendesha kichwa np break Hili penzi nimeingia VIP Unavyo jiachia your body on me Unanipa AB na CD Mwenge unachona kijiji Vuka kwenye mto wa rufifi Limalima kwa shamba la bibi She give me a key namtreat ki G Nashuka napanda ans she say be free

Siri sio siri tena Penzi hadharami Usipo mkuta kwangu Sasa atakua kwa nani Siri sio siri tena Mambo hadharani Usipo mkuta na mimi Sasa atatamba na nani Aaaahh aaaahh aaaahh aaaahh Show off Aaaahh aaaahh Aisse show off Aaaahh aaaahh Kama unampenda show off Kama unampenda show, show off

Video

Ben Pol X Darassa - Show Off (Lyric Video)

Thumbnail for Show Off video
Loading...
In Queue
View Lyrics