Unatosha Mungu wa Agano - nimeubeba msalaba wangu

Nimeubeba msalaba wangu,
nikufuate wewe uliyenipenda
Nimeitua mizingo yangu kwako,
nakufwata wewe unayenipenda ×2

Bwana unatosha
Wanitoshaa... mungu wa agano
Wewe wanitosha ×2

Nasalimu amri yako eeeh baba
Sauti yako nimeisikia
Umenivuta bwana karibu na wewe
Karibu zaidi natamani niwe ×2

Moyo wangu usawa sioni ovu
Wanitosheleza wanitosha...
Mwingine mie sina, wewe wanitosha
Wanitoshaaa wanitoshaa...

@ Eunice Njeri - Unatosha

God of promises you are sufficient for me.

Share:
1 Comments

Comments / Song Reviews

DJ Mica Yes! God is sufficient 3 months ago

Share your understanding & meaning of this song


Eunice Njeri

@eunice-njeri

Bio

Profile bio not available. Go to Artists Page to add bio & Links

Bible Verses for Unatosha Mungu wa Agano - nimeubeba msalaba wangu

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Sifa Lyrics

Social Links