Willy Paul - Mashallah Lyrics

Album: Mashallah - Single
Released: 05 May 2021
iTunes Amazon Music

Lyrics

Aii Mashallah, urembo wako hauna doido Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo

Ooh boy you should know I can't do without you Ooh boy you should know I can't do without you Ooh girl you should know I can't do without you Ooh girl you should know I can't do without you

Aii Mashallah, urembo wako hauna doido Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo

Mtoto msafi umesafisha Na tena wewe sio gold digger Heshima unayo unaridhisha  Na tena wewe ndo malaika

Hakuna mwingine atafanya moyo wangu upumzike Hakuna mwingine mpaka wanizike  Hakuna mwingine atafanya moyo wangu upumzike Hakuna mwingine mpaka wanizike 

Aii Mashallah, urembo wako hauna doido Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo

Kwako nimenoga nimenoga nimenoga Nimenoga nimenoga mama Sitaki mwingine mimi na wewe

Ooh kwa mapenzi nimenoga nimenoga  Nimenoga, nimenoga mama Siendi kwingine ni kwako wewe

Te amo, ooh teamo Te amo, ooh teamo Te amo, ooh teamo Te amo, ooh teamo

Aii Mashallah, urembo wako hauna doido Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo

Aii Mashallah, urembo wako hauna doido Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo

Video

Willy Paul Ft Miss P - Mashallah { official music video }

Thumbnail for Mashallah video
Loading...
In Queue
View Lyrics