Willy Paul - Magnetic Lyrics

Album: Magnetic - Single
Released: 20 Mar 2020
iTunes Amazon Music

Lyrics

Baby girl take down your bikini kwa makini Baby girl take down your bikini kwa makini Slowly down I wanna touch your body Baby kiss and caress me I wanna make you my wife

Utamu wa penzi lako  Linafanya mabubu wanaguna guna Utamu wa penzi lako Viwete wanakimbia

Ah magenetico  Beiby you are magnetico Magnetico your love is so magnetico

Magneticolo, ticolo Magneticolo, ticolo Magneticolo, ticolo Magneticolo

Achana na yule Chibudi Chibude Beiby kam kwangu nikutulize Mapenzi ya Rayvanny Fayvanny Hizo ni vitu funny

Beiby kam nami tukakate maji Tumalize kitandani Unajua Willy mtu wa vipindi

Utamu wa penzi lako  Linafanya mabubu wanaguna guna Utamu wa penzi lako Viwete wanakimbia

Ah magenetico  Beiby you are magnetico Magnetico your love is so magnetico

Magneticolo, ticolo Magneticolo, ticolo Magneticolo, ticolo Magneticolo

Video

Willy Paul - Magnetic (Official video)

Thumbnail for Magnetic video
Loading...
In Queue
View Lyrics