Willy Paul - Chuchuma Lyrics

Album: Chuchuma - Single
Released: 11 Sep 2019
iTunes Amazon Music

Lyrics

Hawa mabinti wanazubaa zu Huku na kule wanavuruga sana Hawa mabinti wananyongesha bisha Huku na kule wanavuruga sana

Vera Sidika chuchuma(Chuchumaa) Huddah mama chuchuma(Chuchumaa) Wema Sepetu chuchuma(Chuchumaa) My African Nandy eehh

Anataka pick it up, pick it up Baby nikiangusha pick it up, pick it up Nikupe moto zaidi ya konki fire, pick it up Njoo kwa bedi nikulishe gyal pick it up

Mimi simba mwenye motion, chuchuma Nakuna kwenye motion, chuchuma Na kama ngumu mi napaka lotion, chuchuma Mi ni mkunaji bwana slow motion, chuchuma

Panda pipa nakupapapasa Chuchuma nikutakase Chukua penzi langu nikupakate Eeeh nikupige mate

Vera Sidika chuchuma(Chuchumaa) Huddah mama chuchuma(Chuchumaa) Wema Sepetu chuchuma(Chuchumaa) My African Nandy eehh

My baby chunga usivunje mifupa, ukichuchuma Nikupe kwenye kiti ama kitandani, toto chuchuma Willy niko fire daka risasi Baby shika koti nikukune basi

Usiwe mjinga ka kijana mnono mfupi Na mwizi mbaya eeeh Funny boy

Napenda unavyopepeta aii Napenda unavyosokota, sokoa sokoa Napenda unavyolia yeii eeh Kila unapo chuchuma iye iye

Wananiita Pozee rafiki ya upele Utalia nikikata na wembe Nikikata nawacha kidonda Usijifanye hukumbuki mkunaji

Si nilikukuna ukamwaga na maji Pozee, kijana bomba Mwana f-- machine(ehe), fire machine(ehe) Swag machine(ehe), chwada machine 

Vera Sidika chuchuma(Chuchumaa) Huddah mama chuchuma(Chuchumaa) Wema Sepetu chuchuma(Chuchumaa) My African Nandy eehh

Vera Sidika chuchuma(Chuchumaa) Huddah mama chuchuma(Chuchumaa) Wema Sepetu chuchuma(Chuchumaa) My African Nandy eehh

Chuchuma Chuchuma Chuchuma Chuchuma

Video

Willy Paul - Chuchuma (Official video) SMS Skiza 9048694 To 811

Thumbnail for Chuchuma video
Loading...
In Queue
View Lyrics