Nijaze Lyrics - Vincent Bahizi
Vincent Bahizi swahili
Nijaze Lyrics
Hooo,Hooo
Nakuja mbele Zako nakuitaji ee Baba,Wewe ni Mwokozi wangu Rafiki Yangu wa Milele
Bila wewe mimi siwezi Kuendelea nisikie,Uniongoze kwa njia zako,Roho wako ifike vema
Nijaze Nijaze unijaze Roho wako
Niguzeee niguzeee nakutegemea wewe
Nakuja mbele Zako nakuitaji ee Baba,Wewe ni Mwokozi wangu Rafiki Yangu wa Milele
Bila wewe mimi siwezi Kuendelea nisikie,Uniongoze kwa njia zako,Roho wako ifike vema
Nijazeee Nijazeee unijaze Roho wako
Niguzeee niguzeee nakutegemea wewe
Nijazeee Nijazeee unijaze Roho wako
Niguzeee niguzeee nakutegemea wewe
Wewe Yesu,wewe ni Kimbilio langu Ngome yangu
Sitahofu bila wewe mimi siwezi kuendelea unisikie

Mungu wangu
Baba yangu
Nakutegemea wewe