Rebecca Malaba - Pokea Sifa na Utukufu Lyrics

Lyrics

Pokea sifa na utukufu Pokea sifa na utukufu Mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako Mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako

Wewe ni Mungu uketiye mahali pa Juu Umeketi katikati ya sifa za watu wako Maserafi makeribu watakatifu wako Mungu Wakisema wastahili pokea sifa, Nasi Bwana Twaungana na watakatifu, tukisema wastahili milele yote. Leo twaungana na malaika, tukisema wastahili milele yote.

Lalala mkono wako ni wa ajabu Lalala nguvu zako ni za uweza Lalala moyo wangu utakusifu wewe

Pokea sifa na utukufu Pokea sifa na utukufu Mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako Mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako.

Mpenzi mwema, rafiki, Baba wa wote Tegemeo mfariji wakati wa shida, tumaini letu wakati wote. All the nations declare of your glory Lalala mkono wako ni wa ajabu Lalala nguvu zako ni za uweza Lalala moyo wangu utakusifu wewe

Pokea sifa na utukufu Pokea sifa na utukufu Mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako Mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako.