Sifa Lyrics

Safari by Paul Clement cover art

Paul Clement - Safari Lyrics

Artist:
Paul Clement
Album:
The Journey
Official Release:
09 May 2025

Lyrics

Toka mwanzo wa safari yangu
Aliahidi kuwa upande wangu
Hivyo najua siko peke yangu
Niko na yeye, yuko na mimi


Mawimbi yaje ama yasije
Upepo uvume ama usivume
Najua atuliza mawimbi
Niko na yeye, yuko na mimi


Furaha yangu, ni kwa sababu
Mungu yupo, upande wangu
Kaahidi, hataniacha
Hatanitupa, yuko nami


Amani yangu, ni kwa sababu
Mungu yupo, upande wangu
Kaahidi, hataniacha
Hatanitupa, yuko nami


Furaha yangu, ni kwa sababu
Mungu yupo, upande wangu
Kaahidi, hataniacha
Hatanitupa, yuko nami


Amani yangu, ni kwa sababu
Mungu yupo, upande wangu
Kaahidi, hataniacha
Hatanitupa, yuko nami


Na kama Bwana akiwa upande wangu
Ni nani aliye juu yangu
Sababu yeye aliye upande wangu
Yuko juu ya juu zote


Magonjwa yaje ama yasije
Na majaribu pia
Najua aliye upande wangu
Yuko juu ya juu zote


Furaha yangu, ni kwa sababu
Mungu yupo, upande wangu
Kaahidi, hataniacha
Hatanitupa, yuko nami


Amani yangu, ni kwa sababu
Mungu yupo, upande wangu
Kaahidi, hataniacha
Hatanitupa, yuko nami


Furaha yangu, ni kwa sababu
Mungu yupo, upande wangu
Kaahidi, hataniacha
Hatanitupa, yuko nami


Amani yangu, ni kwa sababu
Mungu yupo, upande wangu
Kaahidi, hataniacha
Hatanitupa, yuko nami


Sitaogopa mapito
Hata yakija
Hataruhusu
Yaniangushe
Atanivusha


Sitaogopa mapito
Hata yakija
Hataruhusu
Yaniangushe
Atanivusha


Video