Nadia Mukami - Jipe Lyrics

Lyrics

Kamoyo kangu kachoyo Ila kwako nimetulia Nairobi mpaka bagamoyo Anataka kunichumbia

Sasa nalishwa, navishwa Naogeshwaaaa aaah Tena nalindwa napendwa  Yule si wa kuficha aaah

Picha kule kule Watapata taabu saaana Macho mbele mbele Ananipenda saanaa aaah

Hakuna pingamizi kwetu Hakuna madrama huku kwetu Hatuna maneno huku kwetu Tunapendana kikwetu

Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe) Ukinipenda sana nijipe (Nijipe) Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe) Ukinipenda sana nijipe (Nijipe)

Mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai (Kweli) Uh ndo nishazama usinipige kipapai honey Mi hapo kwako nishabwaga moyo usiulaghai (Kweli) Uh ndo ushakwama unachotaka sikatai honey

Najua bado huamini haya yamekua (Yamekua ehh) Acha siamini

Si Hakuna pingamizi kwetu Hakuna madrama huku kwetu Hatuna maneno huku kwetu Tunapendana kivyetu

Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe) Ukinipenda sana nijipe (Nijipe) Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe) Ukinipenda sana nijipe (Nijipe)

Mapenzi malove nawe Iwe shida au raha nitaponda nawe Nataka kapicha nawe Kumbusho pale tumetoka nawee

Siamini leo ni mimi nawe (uuuuuh mama)  Ni mimi na wewe Hizi pesa nitafute nawe (Uuuuuuh mama)  Nitafute na wewe

Lemme call you my dear This love is real not bandia If I love you hutakimbia Coz my love is real not bandia

Si Hakuna pingamizi kwetu Hakuna madrama huku kwetu Hatuna maneno huku kwetu Tunapendana kivyetu

Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe) Ukinipenda sana nijipe (Nijipe) Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe) Ukinipenda sana nijipe (Nijipe)

Video

Nadia Mukami ft Marioo - Jipe (Official Music Video) Skiza Dial *811*176#

Thumbnail for Jipe video
Loading...
In Queue
View Lyrics