Tafes Aru - Hakuna Kama Wewe Lyrics

Lyrics

Hallelujah, hallelujah Ongeza makofi kwa ajili ya Bwana Wapi watoto wa Mungu wakimsifu yeye Ni yeye aliye bwana mkuu Ni yeye Bwana anafanya mambo ambayo Kwa akili zetu hatuwezi Ni yeye mfalme aha Ni nani huyu Mungu nguvu (Bwana)

Ni nani mfalme huyu mwenye uweza (Bwana) Ni nani mfalme huyu mwenye nguvu (Bwana) Ni nani bwana huyu mwenye uweza (Bwana) Kwa neno lake aliitangaza mbingu (Bwana) Kwa neno lake aliitangaza nchi (Bwana)

Ni nani huyu Mungu nguvu (Bwana) Nauliza ni nani mfalme huyu mwenye uweza (Bwana) Ni nani mfalme huyu mwenye nguvu (Bwana) Ni nani bwana huyu mwenye uweza (Bwana) Kwa neno lake aliitangaza mbingu (Bwana) Kwa neno lake aliitangaza nchi (Bwana) Ni nani huyu Mungu nguvu (Bwana) Ni nani mfalme huyu mwenye uweza (Bwana) Ni nani mfalme huyu mwenye nguvu (Bwana) Ni nani bwana huyu mwenye uweza (Bwana) Kwa neno lake aliitangaza mbingu (Bwana) Kwa neno lake aliitangaza nchi (Bwana)

Hakuna kama wewe, umetukuka milele Hakuna kama wewe, umetukuka milele Hakuna kama wewe, umetukuka milele Hakuna kama wewe, umetukuka milele

Ni nani huyu Mungu nguvu (Bwana) Ni nani mfalme huyu mwenye uweza (Bwana) Ni nani mfalme huyu mwenye nguvu (Bwana) Ni nani bwana huyu mwenye uweza (Bwana) Kwa neno lake aliitangaza mbingu (Bwana) Kwa neno lake aliiachilia nchi (Bwana) Ni nani huyu Mungu nguvu (Bwana)

Ni nani mfalme huyu mwenye uweza (Bwana) Ni nani mfalme huyu mwenye nguvu (Bwana) Ni nani bwana huyu mwenye uweza (Bwana) Kwa neno lake aliitangaza mbingu (Bwana) Kwa neno lake aliitangaza nchi (Bwana)

Hakuna kama wewe, umetukuka milele Hakuna kama wewe, umetukuka milele Hakuna kama wewe, umetukuka milele Hakuna kama wewe, umetukuka milele Bwana Hakuna kama wewe Hakuna kama wewe, hakuna kama wewe Bwana Hakuna kama wewe

Video

Hakuna Kama Wewe (LIVE) tafes aru P/W team.

Thumbnail for Hakuna Kama Wewe video
Loading...
In Queue
View Lyrics