Sifa Lyrics

Nimesogea Mtini Pako by Nuru Kitambo cover art

Nuru Kitambo - Nimesogea Mtini Pako Lyrics

Artist:
Nuru Kitambo

Lyrics

Nasikia kuitwa na sauti yako
Nikasafiwe kwa damu, Ya kwangikwa kwako.


Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako


Ni mnyonge kweli,Umenipa nguvu,
Ulivyonisafi taka, Ni utimilivu.


Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako


Yesu hunijuvya; Mapenzi, imani;
Tumai, amani, radhi, Hapa na Mbinguni.


Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako


Huipa imara, Kazi yake, ndani:
Huongezeka neema, Ashindwe Shetani.


Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako


Huishuhudia, Myoyo ya imani
Ya kuzipata ahadi, Wakimuamini.


Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako


Napata wokovu, Wema na neema;
kwako Bwana nina nguvu, Na haki daima


Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako


Video