Lyrics
Umetukuka twakuheshimu
Hakuna mwingine kama wewe
Wewe Mungu baba yangu
nakuinua nakuabudu
Wewe mwanzo tena mwisho
SImba wa yudah hautashindwa
Sauti yako twaielewa
Unaponena twasikia
Niseme nini nikuinue?
Niseme nini nikuabudu?
Wewe pekee wastahili,
Wewe pekee uinuliwe.
Umetukuka twakuheshimu
Hakuna mwingine kama wewe
Wewe Mungu baba yangu
nakuinua nakuabudu