Eunia Simbagoye - Sifa na Utukufu Lyrics

Lyrics

Sifa sifa sifa Na utukufu ni vyako Sifa sifa sifa Na utukufu ni vyako

Bwana ni mwokozi wangu Bwana ni nuruu yangu Bwana Jehova jile Mimi ninakupenda

Sifa sifa sifa Na utukufu ni vyako Sifa sifa sifa Na utukufu ni vyako

Mimi ninakumbuka Upendo wako wa ajabu Urimtowa mwana wako wapekee Kuja kuniokowa Sitachoka kukuimbia Mpaka siku ya mwisho Yesu nikuone Mungu wa Nazareth

Sifa sifa sifa (sifa zako baba) Na utukufu ni vyako(yesu) Sifa sifa sifa (sifa zako Yesu) Na utukufu ni vyako

Sifa sifa sifa( uuu sifa zako Yesu) Na utukufu ni vyako (oh)Sifa sifa sifa (sifa zako Yesu) Na utukufu ni vyako

Tutaimba tutacheza tuki muona yesu Tukimuona alie tufia msalaba Tutaimba tutacheza tukimuona yesu Mataifa nayo yatakusanyika, Tutimba( wa china) tutacheza ( Australia,) tukimuona Yesu ( Tanzania Burundi na Rwanda) Tutaimba (tutakusanyika) tutacheza (tukiimba) tukimuona Yesu Ooh tutaimba! Tutaimba (uuuu) tutacheza tukimuona yesu Ooh tutaimba Tutaimba (tutacheza) tutacheza (hallelujah)tukimuona yesu (Oh tutaimba)Tutaimba ( imba imba imba) tutacheza (tutacheza)tukimuona yesu (Oh tutacheza ) tutaimba “ oh” tutacheza tutacheza tukimuona Yesu

Video

Sifa by Eunia Simbagoye

Thumbnail for Sifa na Utukufu video
Loading...
In Queue
View Lyrics