Kenty MOG - Subira Lyrics

Lyrics

Mmh punde tu shule alipomaliza aliaidiwa atapata ajira alishamaliza na sasa mika imepita haoni kama ndoto yake itakamilika Mm Shiro naye anatamani ndoa wenzake wote washaolewa anaona miaka inazidi songa anashindwa yuko wapimchumba analia tu we oiyoyoyo kilio tu we oiyoyoyo

Baba tupe na subira sisi wana wako twakulilia Baba tupe na subira ahadi zako ni kweli na amina

*Tusavau tu we obugu migiriza x4

Wengine kwa kukosa subira wanatumia dawa za kulevya wengine kwa kukosa subira wanawatembelea waganga Ai wengine kwa kukosa subira wanaishia magerezani wengine kwa kukosa subira aa wajitoa uhai ii

Baba tupe na subira sisi wana wako twakulilia Baba tupe na subira ahadi zako ni kweli na amina

Video

Kenty M.O.G & Mr. Vee - Subira (Official Video)

Thumbnail for Subira video
Loading...
In Queue
View Lyrics