Boaz Danken - Yesu Waweza Lyrics

Yesu Waweza Lyrics

Wanadamu wote wameshindwa 
Wewe Yesu waweza 
Dunia yote imeshindwa 
Wewe Yesu waweza 

Wewe ni Mungu  
Kwa wote wenye mizigo 
Hakuna jambo usiloliweza 

Wanadamu wote wameshindwa 
Wewe Yesu waweza 
Dunia yote imeshindwa 
Wewe Yesu waweza 

Wewe ni Mungu  
Kwa wote wenye mizigo 
Hakuna jambo usiloliweza 

Wewe ni Mungu  
Kwa wote wenye mizigo 
Hakuna jambo usiloliweza 




BOAZ DANKEN - UONGEZEKE YESU ( Official Video) John 3:30 #GodisReal #PenuelAlbum

Yesu Waweza Lyrics -  Boaz Danken

Boaz Danken Songs

Related Songs