Ben Pol - Superwoman Lyrics

Superwoman Lyrics

Sina ajenda Wala sina pa kwenda We ndo game changer Umenituliza kisiwa cha pemba eh I say mwah mwah Penzi lako maji namwagika mwa Baby kiss mwah mwah Ma kiss ma hug ma love dovie tanua, chanua I wanna be the king of your heart Baby would you be the queen of my heart I wanna be with you for the rest of my life Maana hakuna wa kukufananisha no one You’re superwoman Wonder woman You’re superwoman Wonder woman Sina ajenda Wala sina pa kwenda We ndo game changer Umenituliza kisiwa cha pemba eh Tena nnavyokupenda Mbona sina pa kwenda We ndo game changer Umenituliza kisiwa cha pemba eh Badman Akitaka kiti anatengewa Akipata heat anapepewa Akitaka muziki anachezewa I say nangelel nangele nangelewa Oh super You’re my baby super Vile unavyoniendesha kama suka Tena unavyoninogesha kama sugar Kiss kiss na hug Body body to body Ndani ndani kwa ndani Mali iko gambani I wanna be the king of your heart Baby would you be the queen of my heart I wanna be with you for the rest of my life Maana hakuna wa kukufananisha no one You’re superwoman Wonder woman You’re superwoman Wonder woman


Ben Pol X Jux - Superwoman (Audio)

Ben Pol Songs

Related Songs