Sifa Lyrics

Nimemuona Bwana  by Abiudi Misholi cover art

Abiudi Misholi - Nimemuona Bwana Lyrics

Artist:
Abiudi Misholi

Lyrics

Nimemuona Bwana (Nimemuona Bwana) 


Nimemuona Bwana (Nimemuona Bwana) 


Nimemuona akinitendea (Nimemuona Bwana) 


Nimemuona akinilinda (Nimemuona Bwana) 


Nimemuona akiniponya (Nimemuona Bwana) 


Akinifuta machozi (Nimemuona Bwana) 


Akiondoa aibu yangu (Nimemuona Bwana) 


Akinivika heshima (Nimemuona Bwana) 


Nilikuwa na shida, nilikuwa na mateso 


Moyo wangu uliumia, moyo wangu ulichoka 


Bwana Yesu akaja akanishika mkono 


Neema yake nimepata leo nimejaa amani 


Nimemuona Baba nimemuona Bwana 


Nimemuona Yesu yeye yeyee 


Mama usikate tamaa, baba usikate tamaa 


Kwa yale unayapitia wala usifadhaike 


Yuko Mungu akuona Yuko Mungu akutazama 


Utamuona yeyee utamuona leo 


Utamuona Bwana (Utamuona Bwana) 


Utamuona Bwana (Utamuona Bwana) 


Utamuona akikutendea (Utamuona Bwana) 


Utamuona akikulinda (Utamuona Bwana) 


Utamuona akikuponya (Utamuona Bwana) 


Akikufuta machozi (Utamuona Bwana) 


Akiondoa aibu yako (Utamuona Bwana) 


Akikuvika heshima (Utamuona Bwana) 


Leo ni siku yako ya kukutana na Baba 


Macho ya MUngu yawe nawe 


Fungua moyo umuone 


Nyosha mikono umtazame 


Piga magoti umlilie ...


Video