Baba naomba kubarikiwa nawe

Isaac Kahura SifaMusic

Watch Video for Baba naomba kubarikiwa nawe

Read lyrics while watching

Macho yangu, nayainua,
Nibadilishe, Unibariki,
baraka zako, haina huzuni,
nizakudumu milele amina

Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki

ukabadilisha, Yakobo jina ukamwita,
isreael maana yake, kubarikiwa
nami naomba kubarikiwa nawe.

Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki

Ninapokutazama utanininua,
Ninapokutazama utanibariki,
Ninapokutazama sitaogopa kamwe,
Sitoki hapa bila uguso wako.

Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki

Ukinigusa nimebarikiwa,
Uguso wako, ni baraka kwangu,
ulimgusa Batholomayo akaona,
Ndipo nasema, nataka uguso wako.
Sitoki hapa usinibariki.

Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki

Tags: Baraka, Sifa Lyrics

Other songs by Isaac Kahura,

UMETUKUKA TWAKUHESHIMU

Related songs:

Swahili worship Songs - Nyimbo za kuabudu lyrics related to Baba naomba kubarikiwa nawe

Nitaimba sifa Zako - Nitatangaza
Bwana Mungu Nakuomba Sasa
Ebenezer Nani Kama Wewe
Nyosha Mkono wako
Elohim Adonai Yahweh - Jehovah

From the Bible

Categories