Upendo Kilahiro

Hakuna Usiloweza Lyrics

Tazama wewe ni Bwana 
Mungu wa wote wenye mwili 
Je kuna gumu lolote usiloliweza 

Tazama wewe ni Bwana 
Mungu wa wote wenye mwili 
Je kuna gumu lolote usiloweza 

Je kuna neno, kuna neno kuna neno
Usiloliweza

Hakuna usiloliweza
Hakuna usiloliweza


Hakuna Usiloweza Video