NIPE TANO Lyrics - The Survivors Gospel Choir
The Survivors Gospel Choir swahili
NIPE TANO Lyrics
Baba nipe tano, Baba nipe tano, Baba nipe tano
Niongezapo, nami nirudishe tano
Baba nipe tano, Baba nipe tano
Ukinipa tano, nitazalisha tano
Nitarudisha tano
Yaani ni hasara hiyo, ameiachilia talanta
Yaani ni hasara hiyo, hataki kufanya kazi
Baba nipe mimi tano, nikufanyikie mfano
Nikatumike kwa uaminifu, mbele yako
Chibuko la urithi wako
Baba nipe tano, Baba nipe tano, Baba nipe tano
Niongezapo, nami nirudishe tano
Baba nipe tano, Baba nipe tano
Ukinipa tano, nitazalisha tano
Nitarudisha tano
Nipe tano, tano nipatie
Nikachakarike nazo
Tano nipatie, nigongee tano
Nipe tano, tano nipatie
Nikachakarike nazo
Tano nipatie, nigongee tano
Ile moja ulonipa Baba, ile moja ul’onipa
Ile moja ul’onipa sikuifukia, niliizalisha Baba
Sina ulegevu, Sina mchezo kazini
Sina masihara kwa longolongo, we nipe tu tano
Nipe tano, tano nipatie
Nikachakarike nazo
Tano nipatie, nigongee tano
Nipe tano, tano nipatie
Nikachakarike nazo
Tano nipatie, nigongee tano