(Nadia Bruce Melodie)Ndio nimefika nyumbani Kill mtu anatabasamu Kuna furushi la sahani Na vyakula vingi vitamu Mamake kaniambia Eti mwanawe anaoa Dadake kasisitiza na si we Nadi anaoa Tulivopendana hatuwahi zozana Mapenzi kwa sana Na Leo anaoana Nilimuekea ahadi nitamzalia wana Wa kwanza Kai wa pili Zuwena watatu Maria Nilishamuekea ahadi nitamzalia wana Wa kwanza Kai wa pili Zuwena watatu Maria Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine Kipepeo pepea mwambie mi ndo nampenda Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine Kipepeo pepea mwambie mi ndo nampenda Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine Kipepeo pepea mwambie nampenda Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine Kipepeo pepea aah Subiri bado nakupenda And I know na mimi unanipenda Na sikutarajia kukuvunja moyo Baby nisamehe Ila siunajua masaibu yangu ma Hutowezana na kukosa kwangu ma Inauma sana kukuacha we Ila sina budi baby(Rwandan language)Ni kweli tulipendana Hatukuwahi zozana Mapenzi kwa sana Na leo naoana Ila yote mipango ya Mungu Nakuombea mema Kubali Safari ya mapenzi boo Imefika mwisho Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine Kipepeo pepea mwambie mi ndo nampenda Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine Kipepeo pepea mwambie mi ndo nampenda Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine Kipepeo pepea mwambie nampenda Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine Kipepeo pepea aah